SEND OFF PARTY YA LYDIA

SEND OFF PARTY ILIFANYIKA TAREHE 13.6.2015 WILAYANI URAMBO MKOA WA TABORA .

VIDEO AND STILL PICTURE BY
KANYABALI VISUALIZED
0719705862 | 0687-530776ALIPOMPATA MWENZA WAKE MTARAJIWA

BI HARUSI MTARAJIWA AKIMPA ZAWADI YA KEYBOARD
MUME WAKE MTARAJIWA

BWANA EMA AKIPIGA KEYBOARD KWA UFANISI


KITCHEN PARTY YA LYDIA

KITCHEN PARTY YA LYDIA ILIFANYIKA TAREHE 7.6.2015

ILIKUWA NA SHAMRA SHAMRA ZA UHAKIKA NA BI HARUSI MTARAJIWA HAKUWA NYUMA KIBURUDANI

VIDEO AND STILL PICTURES :-

KANYABALI VISUALIZED
0719-705862 | 0687-530776

BI HARUSI MTARAJIWA AKIINGIA KWA MBWEMBWE


CAKE YENYE BASHASHA KIBAO

ZAWADI YA PICHA KUTOKA KWA CAMERAMAN

mapozi na namna ya kujiweka kistyle

KARIBUNI SANA WASOMAJI WA BLOG YETU
KWA SASA TUPO KATIKA KUBORESHA ZAIDI
MSICHOKE TUPO PAMOJA

TUNAKUJA KIVINGINE

TUTADEAL NA PICHA NA VIDEO ZA MATUKIO TOFAUTI NA
KAMA KAWAIDA HABARI ZILIZO ZA UHAKIKA ZITAKUJIA
HAPA HAPA